Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akizungumza kwenye maadhimisho hayo |
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez naye akizungumza katika maadhimisho hayo |
Juu na Chini: Sehemu ya Watumishi wa Serikali na Umoja wa Mataifa wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika maadhimisho hayo. |
Sehemu ya wadau walioudhuria usafishaji katika soko hilo wakiwa tayari kwa kuanza zoezi la usafi katika soko hilo. |
wananchi waliojitokeza wakifuatilia hotuba mbalimbali zilizokuwa zikiendelea |
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho hayo wakishuhudia Mkuu wa Wilaya yao Mhe. Mjema (hayupo pichani) akikabidhiwa vifaa hivyo. |
Mhe. Sofia Mjema, Bw. Alvaro ( kushoto) na Balozi Mushy (wa pili kulia) wakishiriki kusafisha soko la Temeke Sterio. |
Watumishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakishiriki katika zoezi la usafishaji wa soko la Temeke Sterio. |
Balozi Celestine Mushy (kulia) akizungumza na vijana wanaofanya biashara katika Soko hilo juu ya umuhimu wa kufanya usafi katika mazingira yanayowazunguka. |
Usafi ukiendelea |
Balozi Mushy akizungumza na Waandishi wa Habari waliohudhuria katika maadhimisho hayo. |
Picha na Reginald Philip
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.