Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Mlima (kulia), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Bw. Valentino Mlowola. Mazungumzo hayo yalifanyika Wizarani tarehe 26 Januari, 2016. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.