Waziri Mahiga naye akieleza jambo ambapo alimpongeza Mhe. Ramadhani kwa juhudi anazozifanya kwenye Mahakama hiyo. |
Afisa Mambo ya Nje, Bw. Elisha Suku naye akielezea jambo katika mazungumzo kati ya Waziri Dkt. Mahiga na Mhe. Ramadhani (hawapo pichani), wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Baraka Luvanda, na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizarani, Bi. Mindi Kasiga. |
Mazungumzo yakiendelea
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.