Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba (Mb.) akizungumza na Balozi wa India nchini, Mhe. Sandeep Arya (kushoto), katika mazungumzo yao Mhe. Kolimba aliupongeza Ubalozi wa India kwa kuendelea kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na India katika Sekta mbalimbali ikiwemo Sekta ya maji. Kwa upande, Balozi Arya alimpongeza Mhe. Naibu Waziri Kolimba kwa kuteuliwa katika wadhifa huo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.