Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan San kwa pamoja na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim wakiwa meza kuu kabla ya kufungua rasmi Kongamano la Pili la Biashara kati ya Tanzania na Vietnam lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang akifungua rasmi Kongamano la Pili la Biashara kati ya Tanzania na Vietnam ambapo alieleza nia ya wazi ya Serikali yake ya kushirikiana na Tanzania katika sekta ya Teknolojia, Kilimo na biashara ili kuzidi
kuimarisha uhusiano. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.