| Sehemu ya wajumbe wakimsikiliza kwa makini Balozi Mahiga (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano huo. |
| Sehemu nyingine ya wajumbe kutoka Sudan Kusini nao wakifuatilia kwa makini ufunguzi huo. |
| Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN eneo la Maziwa Makuu Balozi Said Djinnit naye alipata fursa ya kuzungumza katika ufunguzi wa mkutano huo. |
| Mwenyekiti wa Kikanda wa Jukwaa la Vyama visivyo vya Kiserikalikutoka nchi za Maziwa Makuu, Bw. Joseph Butiku naye akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano huo |
| Mwakilishi wa Umoja wa Afrika eneo la Maziwa Makuu Bi. Altine Traore naye akizungumza |
| Meza kuu wakimsikilza Bi. Traore (hayupo pichani) alipo kuwa akitoa hotuba yake. |
| Waziri Mahiga akizungumza na Waandishi wa Habari. |
| Picha ya Pamoja.
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.