Mhe. Samaria pia katika mazungumzo hayo alieleza nia ya dhati ya Serikali ya Namibia katika kuimarisha ushirikiano ambapo alieleza umuhimu wa kufanyia utekelezaji makubaliano yanayo sainiwa baina ya mataifa hayo, hususan katika masuala yanayogusa uchumi, vilevile aliainisha masuala kadhaa ya mafanikio yaliyopatikana katika Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)
Maafisa Mambo ya Nje katika Wizara ya Mambo ya Nje,Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wakifuatilia mazungumzo.
Mazungumzo yakiendelea
Wakiagana mara baada ya mazungumzo.
Picha na Reginald Philip
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.