Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adadi Rajabu (kulia), akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje. |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Mhe. Susan Kolimba (Mb) (katikati), akizungumza wakati wa mkutano huo |
Wakurugenzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje nao wakifuatilia kwa makini mkutano ulio wakutanisha na Kamati ya Bunge |
Sehemu nyingine ya Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wakifuatilia mkutano na Kamati ya Bunge |
Sehemu nyingine ya Wakurugenzi |
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Mpango wa Afrika kujitathmini Kiutawala Bora (APRM), Bibi Rehema Twalib naye akitoa mchango kwa Kamati ya Bunge |
Mhe. Kolimba akipata ufafanuzi wa jambo kutoka kwa Wataalam wakati wa kikao na Kamati ya Bunge |
Sehemu ya Maafisa kutoka Wizarani |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.