Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Pro.Adolf Mkenda akiwa katika mzungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) inchini Bibi Abla Beuhammouche,Wizarani Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine mazungumzo hayo yalijikita katika kujadili njia bora zaidi za kutekeleza miradi ya kilimo na uhifadhi wa mazingira. IFAD inatekeleza miradi ya kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo kwa wananchi na uhifadhi wa mazingira katika maeneo mbalimbali nchini. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.