Mazungumzo kati ya Prof. Mkenda na Bw. Kurji yalijikita katika kujadili masuala ya ushirikiano na shughuli za maendeleo ambazo zimekuwa zikifanywa na Shirika la Aga Khan nchini katika kuhudumia wananchi hususan katika sekta ya Afya na Elimu. |
Mazungumzo yakiendelea, kulia ni wajumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.