Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Prof. Adolf Mkenda akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Olufemi Elias,
Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Msajili wa Mahakama ya Kimataifa ya Masalia ya kesi za Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (Mechanism for International Criminal Tribunals-(MICT)
iliyopo Jijini Arusha. Pamoja na mambo mengine Mhe. Elias aliipongeza
Serikali ya Tanzania kwa kutoa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa Mahakama
hiyo pia walizungumzia umuhimu wa Mahakama hiyo hapa nchini. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.