Balozi
wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO), Bw. Zurab Pololikashvili. Balozi Shelukindo alikutana na kufanya
mazungumzo na Bw. Pololikashvili ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia uwezekano wa Shirika hilo kusaidia miradi mbalimbali hapa nchini. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.