Mhe. Rais Kenyatta akisalimiana na Balozi wa Kenya hapa nchini, Mhe. Dani Kazungu wakati wa hafla ya mapokezi yake |
Mhe. Balozi Mulamula akiendelea na zoezi la utambulisho wa viongozi mbalimbali wa hapa nchini waliofika kumpokea Mhe. Rais Kenyatta |
Mhe. Rais Kenyatta akisalimiana na Bi. Felister Rugambwa, Afisa Mambo ya Nje na Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya ambaye yupo nchini kushiriki ziara ya Rais. |
Gwaride la Heshima |
Mhe. Rais Kenyatta akiwa ameongozana na Mhe. Balozi Mulamula wakipita katikati ya gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake. |
Mhe. Rais Kenyatta akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Balozi Mulamula mara baada ya kuwasili nchini |
Mazungumzo yakiendelea. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Mhe. Raychaelle Omamo pamoja na Balozi wa Kenya nchini, Mhe. Dani Kazungu. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.