Baadhi ya Wajumbe wa Baraza hilo ambao ni Mabalozi Wastaafu wakimsikiliza Mhe. Membe wakati wa ufunguzi wa Baraza hilo. |
Mgeni Rasmi na Mjumbe wa Tume ya Mambadiliko ya Katiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim akifungua rasmi Baraza la Katiba la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Bw. Haule, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mmbo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwakaribisha Wajumbe kwenye ufunguzi huo. |
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya Mabalozi Wastaafu wakati wa ufunguzi huo. |
Wajumbe zaidi wakati wa ufunguzi huo. |
Wajumbe wakiwemo Mabalozi Wastaafu na Wakurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakati wa ufunguzi. |
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza ambao pia ni Wakuu wa Idara na Vitengo katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Baraza hilo. |
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza ambao pia ni Maafisa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walioshiriki ufunguzi wa Baraza la Katiba la Wizara. |
Baadhi ya Wajumbe kutoka Chuo cha Diplomasia (CFR) walioshiriki ufunguzi wa Baraza la Katiba la Wizara. |
Mgeni Rasmi, Mhe. Dkt. Salim na Mhe. Membe wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mabalozi Wastaafu. |
Mgeni Rasmi, Mhe. Dkt. Salim na Mhe. Membe wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mabalozi Wastaafu na Wakurugenzi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Taasisi zake. |
Mgeni Rasmi, Mhe. Dkt. Salim na Mhe. Membe wakiwa katika Picha ya Pamoja na Wajumbe wote wa Baraza la Katiba la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Picha na Reginald Philip.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.