Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) kushoto akisalimiana na Balozi wa Kenya kabla ya kuanza kwa hafla ya kumuaga. |
Mhe. Waziri akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency. |
Bibi Bundala akitoa neno kwa ajili ya kumkaribisha Mhe. Waziri kutoa hotuba ya kumuaga Balozi wa Kenya. |
Mhe. Membe akitoa hotuba ambayo ilisisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na biashara kati ya Tanzania na Kenya. |
Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake akitoa hotuba ambapo alishukuru kwa ushirikiano aliopata kutoka Serikali ya Tanzania uliomwezesha kutekeleza majukumu yake kwa wepesi. |
picha ya pamoja |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.