Mhe. Kagasheki akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini, Dkt. Alberic Kacou mara baada ya kuwasili. |
Mhe. Kagasheki akifuatana na Mkuu wa Itifaki, Balozi Maharage, Dkt. Kacou na Balozi Mushy kuelekea kwenye Jukwaa Kuu. (picha na Zainul Mzige wa dewjiblog.com) |
Mhe. Kagasheki akisalimiana na Wakuu wa Mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa yaliyopo hapa nchini mara baada ya kuwasili. |
Mhe. Kagasheki akisikiliza Wimbo wa Taifa ukipigwa kuashiria ufunguzi wa maadhimisho hayo. |
Gwaride la Heshima |
Mhe. Kagasheki akikagua Gwaride la Heshima kwa ajili ya kuadhimisha miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (picha hii na Bw. Zainul Mzige wa dewjiblog.com) |
Mshereheshaji (MC) wa siku hiyo Bw. Macocha Tembele, Afisa Mambo ya Nje akiwa kazini |
Viongozi wa Dini waliokuwepo uwanjani hapo. |
Mabalozi na Wageni waalikwa mbalimbali pia walikuwepo. |
Mabalozi |
Wageni waalikwa |
Dua kuiombea amani dunia ikisomwa |
Maombi yakitolewa |
Sala ikitolewa |
Burudani kutoka Brass Band ya Jitegemee ikitolewa |
Dkt. Kacou akisoma ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha siku hiyo. |
Wageni waalikwa wakimsiliza Dkt. Kacou (hayupo pichani) |
Mhe. Kagasheki akihutubia |
Dkt. Kacou na Balozi Mushy wakimsikiliza Mhe. Kagasheki (hayupo pichani) |
Maafisa Mambo ya Nje wakimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani). Kushoto ni Bw. Lucas Mayenga, Bw. Amos Tengu na Bw. Tembele. |
Maafisa wengine wakifuatilia maadhimisho hayo kwa furaha. Kutoka kulia ni Bi. Asha Mkuja, Bi. Ramla Khamis na Bi. Jubilata Shao. |
Meza Kuu. |
Mhe. Kagasheki akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonesho yaliyoandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 68 ya Umoja wa Mataifa |
Mhe. Kagasheki akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Taasisi zake. |
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Mkumbwa Ally akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Wizara kwa Mhe. Kagasheki alipotembelea Banda la Wizara. |
Mmoja wa Maafisa kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Bw. Rodney Thadeus akitoa maelezo kwa Mhe. Kagasheki kuhusu utendaji wa kituo hicho. |
Mkufunzi Mwandamizi kutoka Chuo cha Diplomasia, Bw. Ali Masabo nae akimweleza Mgeni Rasmi, Mhe. Kagasheki majukumu ya chuo hicho |
Bi. Praxida kutoka Taasisi ya APRM akimhudumia Balozi wa Msumbiji hapa nchini alipotembelea Banda la Wizara. |
Mhe. Kagasheki akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa, Bi. Usia Nkoma alipotemebelea mabanda mbalimbali Viwanjani hapo. |
Dkt. Kacou akifurahia jambo na Balozi Mpango pamoja na Mkuu wa Itifaki, Balozi Maharage. |
Balozi Mushy akisisitiza jambo kwa Dkt. Kacou. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.