Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Dkt. Aziz Mlima (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Masoko wa SMH RAIL Bw. S. Rajamohan ya Malaysia alipomtembelea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu fursa za uwekezaji zilizopo nchini hususan katika miundombinu ya reli. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.