Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Mkutano wa 18 wa Kamati ya Mawaziri ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika-SADC uliofanyika Maputo, Msumbiji kuanzia tarehe 1-5 Agosti, 2016. Mkutano huo pamoja na mambo mengine ulizungumzia hali ya usalama na amani katika nchi za Lesotho, DRC na Madagascar. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.