Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Katika Mkutano huo na Wanahabari Bi. Mindi Kasiga aliujulisha umma kuhusu kufanyika kwa Kongamano la siku mbili (24 -25 Agosti, 2016) la Watanzania wanaoishi Ughaibuni (Diaspora) linalotajiwa kuanza leo Mjini Unguja, Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.