Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Astralasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbelwa Kairuki (kushoto) akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. Dkt. Lu Younqing alipomtembelea Wizarani jijini Dar es Salaam. Mazungumzo yao yalijikita katika kujadili masuala ya ushirikiano, maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya ushirikiano baina ya Tanzania na China, pamoja na mipango ya uwekezaji inayotarajiwa kufanywa na Serikali ya China nchini. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.