Naibu Katibu Mkuu Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza alipokutana na ujumbe kutoka Sweden, Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Katarina Rangnitt |
Mazungumzo yakiendelea |
Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Sweden Bw.Johannes Oljelund akizungumza alipokutana na Naibu Katibu Mkuu, Wa tatu kushoto Mkurugenzi Mkuu wa Biashara Bi.Karin Olofsdotter |
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika Balozi Joseph Sokoine (wapili kulia) akifuatilia mazungumzo, Wa kwanza kulia ni Afisa kutoka Wizarani Bi. Tunsume Mwangolombe |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.