Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya, Mhe. David Martin katika Ofisi za Wizara mjini Dodoma. |
Mazungumzo yanaendelea |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Sarah Cooke katika ofisi za Wizara mjini Dodoma |
Mhe. Waziri Mahiga akiagana na Balozi Cooke baada ya kukamilika kwa mazungumzo yao. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.