Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.
Palamagamba John Kabudi akipokea barua ya pongezi kutoka kwa Balozi wa Ufaransa
hapa Nchini Mhe. Frederic
Clavier iliyoandikwa
na Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumpongeza kwa Tanzania kuingia
katika uchumi wa kati
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.
Palamagamba John Kabudi akiteta jambo na Balozi wa Ufaransa hapa Nchini
Mhe. Frederic
Clavier katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Msajili wa Mahakama ya Kimataifa ya Kesi Masalia za Mauaji ya
Kimbari (International Residual
Mechanism for Criminal Tribunals -IRMCT) Bw. Abubacar Tambadou
akimsikiliza Prof. Palamagamba John Kabudi wakati walipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar
es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.
Palamagamba John Kabudi akiwa katika picha ya pamoja na Msajili
wa Mahakama ya Kimataifa ya Kesi Masalia za Mauaji ya Kimbari (International Residual Mechanism for
Criminal Tribunals -IRMCT) Bw. Abubacar Tambadou mara baada ya
mazungumzo katika
Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro Balozi wa Italia hapa nchini, Mhe. Roberto Mengoni ambaye amamaliza muda wake wa utumishi hapa nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.
Palamagamba John Kabudi akimkabidhi zawadi ya picha Balozi
wa Namibia hapa nchini, Mhe. Theresia Samaria ambaye amamaliza muda wake wa
utumishi hapa nchini
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.