Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein akielezea jambo kwa Waziri Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu, Zanzibar mwishoni mwa wiki
Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) aliotembelea Ikulu |
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.