Waziri Mahiga ampokea Mjumbe Maalum kutoka Eritrea
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Eritrea, Mhe. Isaias Afwerki kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Ujumbe huouliwasilishwa na Mjumbe Maalum ambaye pia ni Balozi wa Eritrea nchini mwenye makazi Nairobi, Kenya, Mhe. Beyene Russom Habtai.
Mhe. Mahiga akizungumza na Mhe. Habtai. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samuel Shelukindo (wa pili kutoka kulia) Bi. Zulekha Tambwe, Afisa Mambo ya Nje.
Mhe. Mahiga akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Habtai na Balozi Shelukindo
Balozi Habtai akisaini Kitabu cha Wageni.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.