Mhe. Bernard Membe akiwasili hotelini nchini Kuwait kwa ziara ya siku moja ambapo atakutana na kufanya mzaungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait na Mkurugenzi Mkuu wa Kuwait Fund. |
Mhe. Membe na ujumbe wake wakimsikiliza Mhe. Najib na kuangalia picha za viongozi mbalimbali wa Kuwait. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.