Meneja Mkuu wa Kampuni ya SG ya nchini India, Dkt. Pralay Dey akiwasilisha mada kuhusu Role of SMEs in Industrialization: Lessons from India kwa Watumishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Taasisi na Idara mbalimbali za Serikali (hawapo pichani), katika mhadhara huo uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Dkt. Dey alieleza umuhimu wa Tanzania kuwa na mradi wa
Mfano wa Uzalishaji wa Viwanda Vidogo "incubator" ili kufikia mapinduzi ya viwanda na kuwawezesha Watanzania kupata ajira. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.