| Waziri akiendelea kuhutubia |
| Balozi Al Najem naye akizungumza katika hafla hiyo. |
| Sehemu ya Mabalozi na viongozi mbalimbali kutoka Serikalini wakisikiliza hotuba zilizotolewa na Mhe.Dkt. Mahiga na Mhe. Al Najem (hawapo pichani). |
| Waziri Mahiga (kulia) akisalimiana na Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi ambaye alihudhuria hafla hiyo. |
| Aliyekuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Mhe. Mwinyi. |
| Waziri Mahiga kwa pamoja na Balozi Al Najem na Mabalozi wengine wakishiriki kukata keki kama ishara ya kuadhimisha wakati wa hafla hiyo. Anayeshhudia pembeni ni Rais Mstaafu, Mhe.Mwinyi. |
| Picha ya pamoja
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.