Balozi wa Japan nchini Tanzania Mheshimiwa Masaki Okada
akizumgumza na Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na
Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete pamoja na uongozi wa Taasisi hiyo
muda mfupi kabla ya kutiliana saini mkataba wa mradi wa kupanua Shule ya
Sekondari WAMA-Nakayama iliyoko Rufiji, Mkoani Pwani tarehe 19.2.2015. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.