| Prof. Gordon Woodman (wa kwanza kushoto), katikati ni Prof. Josephat L. Kanywanyi, wa kwanza kulia ni Dkt.Mapunda wakimsikiliza Dkt. Maadhi akitoa maelezo ya ufafanuzi kuhusu kitabu hicho. |
| Sehemu ya wageni waliohudhuria Hafla hiyo |
| Picha ya Pamoja |
| Naibu Waziri Dkt. Maadhi akipongezwa na Jan-Dieter Gosink kutoka Ubalozi wa Ujurumani Nchini Tanzania |
| Dkt. Maadhi Juma Maalim akiwa katika picha ya Pamoja na Prof Woodman katika hafla ya uzinduzi wa kitabu. |
| Mhe. Dkt.Mahadhi akisalimiana na wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo. |
| Prof. Wanitzek akiwaeleza jambo Pro. Josephat L. Mnywanyi pamoja na Dkt. Mongela |
| Dkt. MaadhiJuma Maalim akimsikiliza Dkt. Lilian Mihayo Mongela, wa kwanza kulia ni Dkt. Anatole Nahayo |
| Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Wakwanza kulia), Dkt. Anatole Nahayo (Wa Kwanza Kushoto) na Katikati ni Dkt. Lilian Mihayo Mongela wakiwa katika Picha ya Pamoja na Vitabu vitabu walivyoandika. |
Picha na Reginald Philip
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.