Wakwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Hassan Simba Yahaya akifuatilia mazungumzo. |
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Balozi Mbelwa Kairuki akisikiliza mazungumzo hayo kwa makini |
Afisa Mambo ya Nje Bw. Elisha Suku akifuatilia kwa umakini mazungumzo kati ya Balozi Kasianju na Mhe. Ntibenda Mkuu wa Mkoa wa Arusha |
Mazungumzo yakiendelea |
Picha na Reginald Kisaka
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.