Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akizungumza kufungua mkutano wa majadiliano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya uliofanyika jijini Dar es Salaam |
Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Manfredo Fanti akizungumza wakati wa Mkutano wa majadiliano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya uliofanyika jijini Dar es Salaam |
Mabalozi kutoka nchi za Umoja wanaoziwakilisha nchi zao nchini wakishiriki katika Mkutano wa majadiliano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya uliofanyika jijini Dar es Salaam |
Washiriki wa wa Mkutano wa majadiliano kati ya
Tanzania na Umoja wa Ulaya uliofanyika jijini Dar es Salaam wakifuatilia kikao hicho |
Washiriki wa wa Mkutano wa majadiliano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya uliofanyika jijini Dar es Salaam wakifuatilia kikao hicho |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.