MAFANIKIO YA
WIZARA YA MAMBO YA NJE - MWAKA 2013
Wednesday, January 8, 2014
Sunday, January 5, 2014
Viongozi wa Serikali wajumuika kutoa mkono wa pole na kuuaga mwili wa Dkt. William Mgimwa
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiweka saini Kitabu cha
Maombolezo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. William Mgimwa, wakati wa
kutoa heshima za mwisho leo kwenye Viwanja vya Karimjee Hall, jijini Dar es
Salaam. (Picha na Ikulu)
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu na familia yake. (Picha na Ikulu)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Jane Katingo,
Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, wakati alipokwenda
nyumbani kwa marehemu huyo kutoa mkono wa pole leo na kuangalia maandalizi ya
mazishi katika Kijiji cha Magunga, Iringa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Mhe. Waziri Bernard K.
Membe (Mb) (wa pili kushoto), wakiwa
wamebeba sanduku lenye mwili wa marehemu Dkt. William Mgimwa leo kwenye Viwanya
vya Karimjee Hall, jijini Dar es Salaaam.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumatatu tarehe 6 Januari, 2014 Mkoani
Iringa. (Picha na Ikulu)
Friday, January 3, 2014
WANADIASPORA WA MAREKANI WAWASILISHA MAJINA YAO KWENYE BUNGE LA KATIBA
MAJINA YA WANADIASPORA WA MAREKANI YALIOWASILISHWA KWENYE BUNGE LA KATIBA
Dear All,
I am happy to report to you that, we were able to meet the deadline of submitting 9 names to the President’s Office in Dare s Salaam, to be included in the coming Special Parliament Session for Constitutional Review. The following individuals were selected based on:
The names that made to the list are (in alphabetical order based on their first names):
Let us wait to hear from the President’s Office in Dar es Salaam on who will make to the final list.
With Kind Regards,
Dr. Ndaga Mwakabuta,
DICOTA President
I am happy to report to you that, we were able to meet the deadline of submitting 9 names to the President’s Office in Dare s Salaam, to be included in the coming Special Parliament Session for Constitutional Review. The following individuals were selected based on:
- Prior involvement on Constitutional Review matters
- Be able to be in Tanzania during the Parliament session
- Gender and geographical representation from all States in the USA
- Balance in their professions
The names that made to the list are (in alphabetical order based on their first names):
- Mr. Alfred U. Nkunga, P.E - Texas
- Ms. Asha Nyang'anyi, M.Sc - Maryland
- Mr. Charles Musiba, Ph.D - Colorado
- Mr. Eustace Kaijage, Ph.D - Illinois
- Mr. Kadari Singo, M.B.A. - California
- Ms. Neema M. Johnson - Missouri
- Mr. Revocatus M. Kalege, M.B.A - Minnesota
- Ms. Sozina D. Katuli, Dr. PH - California
- Ms. Swigah Mwakipake, LLM - Tennessee
Let us wait to hear from the President’s Office in Dar es Salaam on who will make to the final list.
With Kind Regards,
Dr. Ndaga Mwakabuta,
DICOTA President
Source: vijimambo blog
Tanzania Freight Forwarders Association visit the Ministry of Foreign Affairs
Hon. Dr. Mahadhi Juma Maalim (MP) (left-seated), Deputy Minister for Foreign Affairs and International Co-operation today met with the members of the Tanzania Freight Forwarders Association and the Zanzibar Freight Forwarders Bureau, who had just paid a courtesy visit at his office in Dar es Salaam. The team discussed with the Deputy Minister about challenges and business opportunities that exist in their agencies, including membership opportunities in different international organizations that deal with matters related to freight forwarders.
A group photo of Deputy Minister Mahadhi Juma Maalim that include Mr. Ahmed S. Nassoro (left-seated), Secretary General of the Zanzibar Freight Forwarders Bureau, Mr. Stephen J. Ngatunga (2nd right-seated), President of the TAFFA, Mr. Shaban Geva (left-standing), National Treasurer, Ms. Naomi Zegezege (2nd left-standing), Foreign Service Officer (Legal Department) in the Ministry of Foreign Affairs and Mr. Solomon A. Kasa (center-standing), Secretary General of the TAFFA.
Wednesday, January 1, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)