Kutoka kushoto ni Ndg. Shamy Chamicha, Ndg. Jackosn Bulili, Mhe. Balozi Kasyanju,
Ndg. Florence Chakina na Ndg. Hofman Sanga.
Mhe. Irene F. M. Kasyanju, Balozi wa Tanzania, Uholanzi
amekutana na wanafunzi wanne (4) kati ya watano (5) wa Kitanzania wanaosoma shahada
tofauti katika Taasisi iitwayo “International Institute of Social Studies (ISS)”,ya
Chuo Kikuu cha Erasmus, Rotterdam ambao walifika Ubalozini kwa lengo la
kumsalimu na kufahamiana.
Pamoja na mambo mengine wanafunzi hao wamewasilisha ombi
lao kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Mhe. Balozi wa kuiomba
isaidie kuhakikisha kuwa idadi ya “Scholarships” kwa Tanzania kwenye Chuo hicho
inaongezeka. Hii ni kutokana na idadi ya
Watanzania wanojiunga na ISS kupungua sana ukilinganisha na nchi zingine za Afrika
hususan za Afrika Mashariki, tofauti na ilivyokuwa zamani.
Balozi kwa upande wake alipokea ombi lao na kuahidi kulifanyia
kazi ipasavyo. Aliwashukuru wanafunzi hao kwa kufika Ubalozini kujitambulisha na
akawaahidi ushirikiano wakati wote watakaokuwepo Uholanzi.
|
Thursday, November 12, 2015
WANAFUNZI WA ISS WAMTEMBELEA BALOZI MPYA WA TANZANIA, UHOLANZI
Wednesday, November 11, 2015
Wizara ya Mambo ya Nje yamuaga rasmi Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini
Balozi Sebregondi akifurahia picha hiyo huku Mabalozi na Wageni waalikwa nao wakichukua picha za ukumbusho wa tukio hilo |
Balozi Mulamula akitoa neno la shukrani kwa Balozi Sebregond, kwa niaba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa hafla hiyo |
Sehemu ya Wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini wakati Balozi Mulamula (hayupo pichani) alipokuwa akitoa neno la shukrani |
Balozi Mulamula akiendelea kuzungumza katika hafla hiyo |
Maafisa Mambo ya Nje nao wakisikiliza kwa makini wakati Balozi Sebregondi (hayupo pichani) akizungumza. |
Balozi Mulamula na Balozi Sebregondi wakitakiana afya njema |
Wageni waalikwa nao wakitakiana afya njema |
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga akizungumza katika hafla ya kumuaga Balozi Sebregondi (hayupo pichani). |
Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Balozi anayewakilisha Umoja wa Ulaya hapa nchini Mhe. Filiberto Sebregondi |
Picha ya pamoja. |
Tuesday, November 10, 2015
Press Release
H.E. Jose Eduardo dos Santos, President of Angola |
PRESS RELEASE
H. E. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United republic of Tanzania, has sent a congratulatory message to H. E. Jose Eduardo dos SANTOS, President of the Republic of Angola on the occasion of the 40th Anniversary of Angolan National Day on the 11th November, 2015.
The message reads as follows:
“H.E. Jose Eduardo Dos Santos,
President of the Republic of Angola,
LUANDA.
Your Excellency and Dear Brother,
It gives me great pleasure on behalf of the Government and People of the United Republic of Tanzania and indeed, on my own behalf, to extend to Your Excellency and through you to the Government and People of the Republic of Angola, our heartfelt and warmest congratulations on the occasion of celebrating the 40th Anniversary of the independence of your great nation on 11th November 2015.
As we join you in celebrating this auspicious and historic occasion, I wish to express my satisfaction with the cordial and brotherly bilateral relations that so happily exist between our two brotherly countries. Tanzania reaffirms its commitment to continue strengthening these relations through closer cooperation in social–political and economic fields for the mutual benefit of our two countries and peoples.
While wishing you a successful celebration, please accept, Your Excellency and Dear Brother, the assurance of my highest esteem as well as prosperity for the people of the Republic of Angola”.
Issued by: THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES SALAAM.
10TH NOVEMBER, 2015
Monday, November 9, 2015
Amb. Mulamula meets Vice President of Africa Analysis
The Conversation between Amb. Mulamula and Mr. Schroeder is in progress. |
Group photo. |
Friday, November 6, 2015
Balozi Mulamula akutana na Wageni mbalimbali Wizarani
Waziri Nyamitwe hakusita kuelezea furaha yake ya kupata fursa ya kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli hapo jana. |
Balozi Mulmula akizungumza huku Balozi Cartier (wa kwanza kushoto) akimsikiliza. Mwingine katika picha ni Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felista Rugambwa |
Balozi Mulamula akizungumza na Dkt. Ojiambo alipotembelea Wizarani leo |
Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Ojiambo |
Picha ya pamoja
Picha na Reginald Philip
|
Balozi Mulamula awasindikiza Rais wa DRC na Msumbiji
Rais Kabila (katikati) akielekea kwenye ndege, kulia ni Balozi Mulamula na kushoto ni Balozi wa Kongo nchini Mhe. Khalifani Mpango |
Mhe. Rais Kabila akipita kwenye gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la wananchi Tanzania |
Katibu Mkuu Mhe. Balozi Liberata Mulamula (kulia) akiagana na Rais Joseph Kabila tayari kwa kuanza safari ya kuelekea nchini kwake. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (mwenye pochi mkononi) akiagana na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi |
Rais Nyusi akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Mhe. Shamimu Nyanduga. |
Mhe. Lamamra akipanda kwenye ndege tayari kabisa kuanza safari ya kurejea nchini Algeria |
Picha na Reginald Philip
Subscribe to:
Posts (Atom)