Watoto wa Rais Kikwete wakiwa kwenye banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakitambua bendera za nchi mbalimbali zenye mahusiano ya kidiplomasia na Tanzania. |
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Kificho akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo tarehe 6.07.2011. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.