Mhe. Dkt. Maalim (mwenye tai nyekundu) na Mhe. Balozi Taj (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Maafisa wa Ubalozi mbele ya jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa. |
Thursday, November 6, 2014
Naibu Waziri afanya ziara ya kikazi nchini Ufaransa
36 African countries mull ICC withdrawal
Foreign Minister Bernard K. Membe (MP.) |
THIRTY six African countries, including Tanzania, are contemplating to withdraw their membership from the International Criminal Court (ICC) by January, next year, the National Assembly was told on Wednesday.
The African Union (AU) summit, slated for January, next year, is expected to discuss the matter, among others, according to the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe.
The move by the African countries comes at a time the Hague-based court summoned Kenyan President Uhuru Kenyatta to appear before it in regard to the postelection violence that rocked that country in 2007.
Minister Membe made the remarks in response to a supplementary question by Chwaka MP Yahya Kassim Issa (CCM), who expressed concern over Kenyatta’s summon while heads of state in Africa had earlier opposed the move.
“It is at this meeting that Africa will make a decision on whether to remain or pull out of the international court,” Minister Membe told the House.
Responding to a basic question raised by the legislator earlier, Mr Membe said the government of Tanzania was satisfied with the status of cooperation among African countries in addressing challenges they face.
He explained that despite arrest warrant being issued by the ICC to arrest several African leaders, the leaders have continued to walk around in various countries without being arrested, thanks to good cooperation between the governments.
Source: Daily News (06 November 2014)
Tuesday, November 4, 2014
Waziri Membe amuaga Balozi wa Qatar
Waziri Membe akizungumza jambo na Balozi Jassim M. Al-Darwish huku Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Simba Yahya (kushoto) akisikiliza. |
Afisa Mambo ya Nje, Bw. Batholomeo Jungu akisikiliza mazungumzo kati ya Waziri Membe na Balozi Al- Darwish ambao hawapo pichani |
--------------Hafla ya kumuaga Balozi Al-Darwish
Sehemu ya Wajumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Ubalozi wa Qatar wakati wa hafla ya kumuaga Balozi Al-Darwish |
Picha ya Pamoja. Picha na Reginald Philip |
Monday, November 3, 2014
Ujumbe wa wanajeshi wamtembelea Balozi wa Tanzania nchini Malawi
Sunday, November 2, 2014
WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA LA VERNE WAPEWA SOMO KUHUSU USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA
Saturday, November 1, 2014
Makamu wa Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa ziara ya siku moja
Mhe. Ramaphosa akilakiwa na Mhe. Wasira mara baada ya kuwasili. |
Mhe. Ramaphosa akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika mara baada ya kuwasili. |
Mhe. Ramaphosa akisalimiana na Afisa Mambo ya Nje, Bi. Talha Mohammed |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa Matamela alipofika Ikulu kwa mazungumzo. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikino wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) kwa pamoja na Mhe. Wasira wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Rais na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini (hawapo pichani) |
Mazungumzo yakiendelea. Kulia ni Mhe. Radhia Msuya, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini |
Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mazungumzo.
Picha na Reginald Philip
|
Subscribe to:
Posts (Atom)