Dkt. Stagomena Tax, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC akitoa hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Baraza la Mawaziri wa jumuiya hiyo. |
Picha ya pamoja ya Mawaziri waliohudhuria Kikao cha Baraza la Mawazi wa Nchi wanachanama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, Jijini Gaborone, Botswana tarehe 14-15 Agosti, 2015 |