Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam. |
Waheshimiwa Marais wa Tanzania na Rwanda wakiangalia vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitumbuiza katika uwanja wa ndege. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgeni wake wakisalimia wananchi waliofika viwanja vya Ikulu kumlaki mgeni mara baada ya kuwasili. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (wa sita kulia), akiwa katika Mkutano na Mgeni wake Mhe. Rais Paul Kagame pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali wa pande zote mbili. |
Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akizungumza na Wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Mhe. Rais Dkt. Magufuli. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame.
|