Friday, December 23, 2011
Thursday, December 22, 2011
Naibu Waziri amuaga Balozi wa Zambia Nchini Tanzania
Balozi Mavis Muyunda akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Bi. Zuhura Bundala nje ya Jengo la Wizara alipofika kuagana na uongozi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini Tanzania. |
Wednesday, December 21, 2011
Mabalozi wapya wakaribishwa Wizara ya Mambo ya Nje
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bwana John Haule leo amewakaribisha rasmi Mabalozi Wateule kwenye Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambapo Wakuu wa Idara na Votengo walieleza kwa kifupi kazi za Wizara kwa ujumla.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bwana John Haule akiongoza kikao cha utambulisho kati ya Mabalozi Wateule na Uongozi wa Wizara Leo tarehe 21.12.2011 |
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara Bwana D. Mndeme akijitambulisha kwa mabalozi wapya wa Wizara. |
Balozi Mteule nchini Misri, Mhe. Mohamed Hamza akijitambulisha kwenye Mkutano huo. Kushoto ni Balozi Batilda Burian anayeenda nchini Kenya. |
Balozi Mteule wa Tanzania nchini Oman Mhe. Ali Saleh akijitambulisha kwa uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Balozi Mteule wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Shamim Nyanduga |
Balozi Mteule wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Ladislaus Komba akijitambulisha |
Katibu Mkuu wa Wizara Bwana John Haule akiongea na Mabalozi Wateule. Wa kwanza kushoto ni Mhe. Batilda Burian, Balozi Mteule wa Tanzania nchini Kenya. |
Mhe. Grace Mujuma (wa kwanza Kulia), Balozi Mteule wa Tanzania nchini Zambia |
Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani Bw. Gabriel Mwero akijitambulisha kwa mabalozi wapya. |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda Bw. Adrian Miyaye akijitambulisha. |
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw. Katinda E. Kamando akijitambulisha kwa mabalozi wapya wa Wizara. |
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia Bi. Naimi Aziz akijitambulisha kwa mabalozi wapya wa Wizara. |
Monday, December 19, 2011
Mabalozi Waapishwa Ikulu Leo
Friday, December 16, 2011
Ikulu yatangaza Mabalozi watakaowakilisha Tanzania kwenye nchi Nane
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UTEUZI WA MABALOZI
_________________________
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao kuwa Mabalozi:-
Mhe. Phillip MARMO, ameteuliwa kuwa Balozi nchini CHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge. Dkt. Deodorus B. KAMALA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini BELGIUM. Kabla ya hapo Mhe. Kamala alikuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Dkt. Batilda S. BURIAN, ameteuliwa kuwa Balozi nchini KENYA. Kabla ya hapo Mhe. Dkt. Burian alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira).
Dkt. Ladislaus C. KOMBA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini UGANDA. Kabla ya hapo Dkt. Komba alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii.
Bibi Shamim NYANDUGA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini MSUMBIJI. Kabla ya hapo Bibi Nyanduga alikuwa Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Bibi Grace J.E. MUJUMA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini ZAMBIA. Kabla ya hapo Bibi Mujuma alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Ushirikiano wa Kikanda (Regional Co-operation), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Bwana Mohamed H. HAMZA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini MISRI. Kabla ya hapo Bwana Hamza alikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, ZANZIBAR, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Ndugu Ali A. SALEH, ameteuliwa kuwa Balozi nchini OMAN. Kabla ya hapo Bwana Saleh alikuwa Balozi Mdogo (Consul General) nchini Dubai.
Uteuzi huu unaanzia tarehe 12 Oktoba, 2011. Wataapishwa tarehe 19 Desemba, 2011 saa 03.00 Asubuhi.
……………………………… MWISHO ………………………… ………….
(Phillemon L. Luhanjo)KATIBU MKUU KIONGOZI IKULU,
DAR ES SALAM.
16 Desemba, 2011
Wednesday, December 14, 2011
Hon. Bernard Membe to attend Africa/Turkey Ministerial Review Conference
Istanbul to host the Africa/Turkey Ministerial Review Conference
Addis Ababa - On 16 December 2011, the Africa/Turkey Ministerial Review Conference will be held in Istanbul,Turkey, in linewith the Follow-up Mechanism of the Istanbul Declaration on “Africa– Turkey Partnership”. The Minister of Foreign Affairs of the Republic of Turkey, Mr. Ahmet Davutoğlu, the Minister of Foreign Affairs,International Cooperation and Francophonie of the Republic of Equatorial Guineaand Chairperson of the Executive Council of the African Union, Mr. Pastor MicheOndo Bile (Equatorial Guinea) and the Chairperson of the African UnionCommission, Dr. Jean Ping will co-chair the Conference.
Theconference that will be attended by representative of African countries and Turkey, the Chairperson of the African Union Commission (AUC), Representativesof the African Union Commission, the New Partnership for Africa’sDevelopment (NEPAD) Planning and Coordination Agency, and Regional EconomicCommunities (RECs) as well as observers from various international and regionalorganizations, will enable the two sides to review and discuss theAfrica-Turkish Partnership and the future perspectives. This will include thereview of the implementation of the Joint Plan of Action – Turkey-Africaapproved in November 2010.
The conference will, as well deliberate on the preparation of the 2ndTurkey-Africa Cooperation Summit. The First Africa – Turkey Cooperation Summit, held in Istanbul in August 2008, confirmed the commitment of Heads ofState and Government from both sides to work towards strengthening the variousdimensions of the strategic partnership.
AHigh Level Preparatory Meeting that will take place on 15 December will precedethe ministerial conference to consider the identified priority projects, thedraft Joint Communiqué and the agenda of the Ministerial Review Conference.
TheDeputy Undersecretary of Turkish Ministry of Foreign Affairs, the Chairpersonof the Permanent Representatives Committee and a Representative of the AfricanUnion Commission will address the preparatory meeting.
AJoint Press Conference chaired by the Minister of Foreign Affairs of Turkey, the Chairperson of AU Executive Council of the African Union and theChairperson of the African Union Commission, will be held at the end of theConference (16 December 2011 at 18:45 – 19:15 hours at theÇırağan Palace Kempinski Hotel on.
Theaccreditation of the international press members will be made through theTurkish General Directorate of Press and Information. The announcementconcerning the accreditation will be made by the aforementioned GeneralDirectorate and through the Press Accreditations Desk, which will be opened atthe Çırağan Palace Hotel on 16 December 2011.
The accredited members of the press will have access to theevent. A Press Center will be available during the meeting at the“Çırağan Palace Hotel” giving communication,documentation and services to the representative of the media. A Yellow Badge will be given to Members of thePress selected by Turkish Directorate of Press and Information.
For further information, pleasecontact: Habiba Mejri-Cheikh, Director of Information and Communication African Union Commission; Email: habibam@african-union.orgor Mejri-cheikh.habiba@hotmail.com
Tuesday, December 13, 2011
Balozi Mpya wa Umoja wa Ulaya awasili nchini
Thursday, December 8, 2011
Leaders arriving for the 50 years of Independence celebrations: Mozambique
Leaders arriving for the 50 years of Independence celebrations: Malawi
Leaders arriving for the 50 years of Independence celebrations: Democratic Peoples Republic of Korea
Rais wa Bunge la Korea Mhe. Kim Jong Nam akiwasili nchini na kupita kwenye gwaride la heshima kwenye Kiwanja cha Ndege cha Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es salaam leo. Mhe. Kim Jong Nam ameambatana na ujumbe wa watu 17 akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea, kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa na Mhe. Kim Jong Nam, Rais wa Bunge la Korea wakiangalia vikundi vya Burudani mara baada ya kuwasili nchini. Mhe. Nam amepokelewa pia na Mhe. Selina Kombani, Waziri wa Katiba na Sheria (kulia). H.E. Kim Jong Nam is in the country for Uhuru celebrations and he is leading the delegation of 17 people from his country including Foreign Minister. |
Waziri Membe akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Canada
Thursday, December 1, 2011
Waziri Membe Atembelea Makumbusho ya Oman
Wednesday, November 30, 2011
Membe akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman
Ujumbe wa Serikali ya Oman |
Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Mhe. Yousef Alawi Bin Abdallah Waziri Anayeshughulikia Mambo ya Nje wa Oman mjini Muscat leo tarehe 30.11.2011 |
Subscribe to:
Posts (Atom)