Tuesday, January 26, 2016
Nafasi za Kazi UNEP.
Job Openings
Applications from women candidates are strongly encouraged.
The United Nations does not charge a fee at any stage of the recruitment process (application, interview meeting, processing, training or any other fees). The United Nations does not concern itself with information on bank accounts.
Job Title | Level | Job ID | Job Network | Job Family | Department/Office | Duty station | Deadline |
---|---|---|---|---|---|---|---|
ADMINISTRATIVE OFFICER | P-3 | 52332 | Management and Administration | Administration | United Nations Environment Programme | COPENHAGEN | 24/03/2016 |
SENIOR PROGRAMME MANAGEMENT OFFICER | P-5 | 50054 | Economic, Social and Development | Programme Management | United Nations Environment Programme | GENEVA | 20/03/2016 |
SENIOR PROGRAMME MANAGEMENT OFFICER | P-5 | 52647 | Economic, Social and Development | Programme Management | United Nations Environment Programme | NAIROBI | 12/03/2016 |
Associate Programme Management Officer (Marine: Project Post), | P-2 | 52040 | Economic, Social and Development | Programme Management | United Nations Environment Programme | ABU DHABI | 19/02/2016 |
Programme Management Officer | P-3 | 48410 | Economic, Social and Development | Programme Management | United Nations Environment Programme | NAIROBI | 14/02/2016 |
SENIOR PROGRAMME MANAGEMENT OFFICER | P-5 | 49433 | Economic, Social and Development | Programme Management | United Nations Environment Programme | NAIROBI | 11/02/2016 |
SENIOR COORDINATION OFFICER (Project Post) | P-5 | 50630 | Economic, Social and Development | Programme Management | United Nations Environment Programme | TOYAMA | 10/02/2016 |
DEPUTY COORDINATOR, Mediterranean Action Plan | P-5 | 50553 | Economic, Social and Development | Programme Management | United Nations Environment Programme | ATHENS | 07/02/2016 |
SENIOR ADMINISTRATIVE OFFICER | P-5 | 50105 | Management and Administration | Administration | United Nations Environment Programme | NAIROBI | 07/02/2016 |
SPECIAL ASSISTANT, ADMINISTRATION [Cancelled] | P-3 | 49435 | Management and Administration | Administration | United Nations Environment Programme | NAIROBI | 05/02/2016 |
Dr. Mlima Meets Assistant Secretary General of the United Nations
UN Resident Coordinator and UNDP Representative in Tanzania, Mr. Alvaro Rodriguez (R) with his colleague in the office also attended the discussions.
Photos by Reginald Philip
|
Friday, January 22, 2016
Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa New Zealand nchini
Mkutano ukiendelea kati ya Balozi Mlima (katikati) na Balozi Mann huku Bw. Khatibu Makenga (kulia), Afisa Mambo ya Nje akifuatilia
Picha na Reginald Philip
|
Balozi Haule akutana na Balozi wa Hungary.
Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Michael Haule akikabidhi zawadi kutoka Tanzania kwa Balozi wa Hungary nchini mwenye makazi yake Nairobi, Mhe. Laszlo Mathe mara baada ya kukutana kwa mazungumzo Jijini Nairobi. Serikali ya Hungary imetoa
nafasi 30 za masomo kwa Tanzania kwa miaka mitatu kuanzia mwaka huu.
Wawakilishi hao wa Nchi pia walizungumzia ushirikiano wa kiuchumi, ambapo
Hungary imeahidi kushawishi wawekezaji kuanzisha miradi ya ubia ya
viwanda itakayolenga uhamishaji wa teknolojia kwa Tanzania
Waziri Mahiga azindua Kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim.
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb), mwenye tai ambaye ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim (Salim Ahmed Salim: Son of Afica), kitabu kinachozungumzia historia iliyotukuka ya Dkt. Salim ndani ya Tanzania, Afrika na Duniani kwa ujumla, wakiwa wameshikilia kitabu hicho baada ya kuzinduliwa rasmi tarehe 21-01-2016, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
Waziri Mahiga akimpongeza Dkt. Salim, muda mfupi baada ya kuzindua kitabu chake.
Waziri Mahiga akimpongeza Dkt. Salim, muda mfupi baada ya kuzindua kitabu chake.
Waziri Mahiga akikata utepe, kama ishara ya kuzindua kitabu hicho.
Hivi ndivyo uso wa kitabu hicho unavyoonekana.
Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia), na Mwakilishi wa Kituo cha Kutatua Migogoro Barani Afrika, (Centre for Humanitarian Dialogue-CHD), Bw. Mohamed Omary wakionyesha Fremu yenye Mashairi ya kumsifu Dkt. Salim, huku Waziri Mahiga akishuhudia tukio hilo.
Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia), na Mwakilishi wa Kituo cha Kutatua Migogoro Barani Afrika, (Centre for Humanitarian Dialogue-CHD), Bw. Mohamed Omary wakionyesha Fremu yenye Mashairi ya kumsifu Dkt. Salim, huku Waziri Mahiga akishuhudia tukio hilo.
Mhariri wa kitabu hicho, Dkt. Jackkie Cilliers akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb), ambaye ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim (Salim Ahmed Salim: Son of Afica),akimzungumzia historia iliyotukuka ya Dkt. Salim Ahmed Salim, kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho.
Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thami Mseleku (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Rwanda hapa nchini, Mhe. Eugene Segore Kayihura nao wakifuatilia uzinduzi wa kitabu hicho.
Dkt. Salim Ahmed Salim, akitoa maneno ya Shukrani kwa heshima aliyopewa kwa Mwandishi wa kitabu hicho lakini kwa wadau wote waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wa kitabu chake.
Aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (Katikati), akiwa na wageni mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.
Aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (Katikati), akiwa na wageni mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.
Mwanasheria nguli, Profesa Issa Shivji, akitoa muhtasari kitabu hicho kwa wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.
Waziri Mahiga akifurahia jambo na Dkt. Salim.
Dkt. Salim akizungumza jambo wakati wa hafla hiyo.
Mgeni Rasmi, Waziri Augustine Mahiga akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuzindua kitabu cha Dkt. Salim katika hafla iliyofanyika tarehe 21-01-2016 katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salim.
==============================
PICHA NA REUBEN MCHOME.
Subscribe to:
Posts (Atom)