Balozi Mteule wa Ugiriki
Balozi Mteule wa Mali
Balozi Mteule wa Colombia
Balozi Mteule wa Ufilipino
Mheshimiwa Adam Kimbisa akisalimiana na Mheshimiwa Dkt. Mahiga wakati wa Semina hiyo ya siku mbili iliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere tarehe 19-20 Januari, 2018. |
Mheshimiwa Pamela Maasay akijitambulisha wakati wa Semina elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki. |
Mheshimiwa Dkt. Ngwaru Maghembe akijitambulisha wakati wa Semina elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki |
Mheshimiwa Mhandisi Mohamed Habib Mnyaa akijitambulisha wakati wa Semina elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki |
Bw. Stephen Mbundi, Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Wizara akichangia mada wakati wa Semina Elekezi ya Wabunge wa Bunge la nne la Afrika Mashariki. |
Watumishi wakiendelea kumsikiliza Mhe. Rais Magufuli. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo katika kikao hicho. |
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akichangia hoja zitakazosaidia kuboresha utendaji wa Serikali ili malengo ya Serikali ya Awamu ya Tano yaweze kufikiwa. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifurahi jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Afrika, Balozi Grace Mujuma. |
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akiagana na Mhe. Rais Magufuli. |
Watumishi wakiendelea kuagana na Mhe. Rais, pichani ni Bw. Ally Kondo naye akishikana mikono na Mhe. Rais. |
Mkurugenzi wa Idara ya Biashara, uwekezaji na Sekta za Uzalishaji katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Bernard Haule (wa pili toka kulia) pamoja na wajumbe wengine wakifuatilia Mkutano. |
Sehemu ya wajumbe kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika wakifuatilia Mkutano. |
Sehemu nyingine ya Wajumbe wakifuatilia Mkutano |
Wajumbe wakishuhudia hafla ya ufunguzi wa Mkutano. |
Waandishi wa Habari wakifanya mahojiano na Mhe. Waziri Mahiga mara baada ya hafla ya ufunguzi kumalizika. |