Friday, December 13, 2013

Kaimu Konseli Mkuu wa Ubalozi mdogo wa Tanzania, Dubai asaini Kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mzee Nelson Mandela



Bw. Omary Mjenga, Kaimu Konseli Mkuu katika Ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dubai akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Nelson Mandela, katika Ubalozi mdogo wa Afrika Kusini mjini Dubai. 


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.