| Mhe. Yahel akimweleza Waziri Mahiga namna Serikali ya Israel ilivyofanikiwa katika miradi ya kilimo na umwagiliaji ambayo imesaidia katika kuwahakikishia wananchi wake upatikanaji wa chakula. |
| Mazungumzo yakiendelea |
| Wakijadili jambo mara baada ya mazungumzo |











