Rais Kikwete akimkaribisha Rais Zuma kwenye chumba cha mazungumzo. |
Monday, December 22, 2014
Rais Zuma akutana kwa mazungumzo na Rais Kikwete Ikulu
Konseli Mkuu wa Tanzania Dubai, aagana na maafisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Rais Zuma awasili nchini kwa ziara ya kikazi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwa tayari kumpokea Mhe. Zuma alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi. |
Mhe. Zuma akipokelewa na Mhe. Dkt. Bilal mara baada ya kuwasili nchini. Anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki, Balozi Juma Maharage |
Mhe. Zuma akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova ambaye alikuwepo uwanjani hapo kwa mapokezi |
Mhe. Rais Zuma akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Zuhura Bundala wakati wa mapokezi yake. |
Rais Zuma kwa pamoja na Dkt. Bilal wakifurahia burudani ya ngoma iliyokuwa ikitolewa na moja vikundi vilivyokuwepo Uwanjani hapo wakati wa mapokezi. |
Saturday, December 20, 2014
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Afrika
Kusini, Mhe. Jacob Zuma anatarajiwa kuwasili nchini usiku wa tarehe 21 Desemba,
2014 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Mhe. Zuma atapokelewa na Mwenyeji wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada
ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es
Salaam.
Mhe. Zuma atakutana kwa mazungumzo
rasmi na Mhe. Rais Kikwete tarehe 22 Desemba, 2014 kabla ya kuondoka nchini na kurejea
nchini kwake.
IMETOLEWA
NA: WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, DAR ES SALAAM.
20
DESEMBA, 2014
Thursday, December 18, 2014
Press Release
Hon. Tony Abbott, Australian Prime Minister |
PRESS RELEASE
President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has sent a condolence message to the Prime Minister of the Australian Government, Honourable Tony Abbott (MP) following the Sydney café siege which occurred on the 16th December, 2014 and claimed the lives of two people.
The message reads as follows:
“The Honourable,
Tony Abbott (MP)
Prime Minister of Australia,
Canberra, AUSTRALIA.
Honourable Prime Minister,
I am deeply saddened by the Sydney cafe siege on the 16th December 2014 that claimed the lives of 2 people. The attack was indeed received with great shock in my country particularly at this time when the world is seen to be working together to end the scourge.
As the people of Australia continue to grieve for the loss of their loved ones, the Government and the people of the United Republic of Tanzania reiterates its continued support to the Australian Government on the fight against terrorism and wish the bereft families a full and fast recovery from the tumor.
Please accept, Honourable Prime Minister the assurances of my highest consideration”.
Issued by: THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES SALAAM
18TH DECEMBER, 2014
Press Release
H.E. Manmoon Hussain, President of Pakistan |
PRESS RELEASE
President of the United Republic of Tanzania, H.E. Jakaya Mrisho Kikwete has sent a condolence message to the President of the Islamic Republic of Pakistan, H.E. Manmoon Hussain following a terrorist attack which occurred on the 16th December, 2014 and claimed lives of 141 people.
The message reads as follows:
“H. E. Manmoon Hussain,
President of the Islamic Republic of Pakistan,
Islamabad,
THE ISLAMIC REPUBLIC OF PAKISTAN.
Your Excellency,
I am deeply saddened by the devastating terrorist attack at the Army Public School in Peshawar City of Pakistan, on the 16th December 2014 that claimed the lives of 141 people, mostly children. It is indeed very shocking to see such a loss of innocent lives and the maiming of many others.
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I wish to convey our heartfelt condolences and sympathies to you and through you to the Government and the people of the Islamic Republic of Pakistan for this tragic and cowardly act.
At this moment of intense grief, the People of Tanzania wishes the victims of this tragic act a full and speedy recovery. Our thoughts and prayers are with the Pakistan people during this very difficult time of bereavement.
Please accept, Your Excellency and Dear Brother the assurances of my highest consideration”.
Issued by: THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES SALAAM
18TH DECEMBER, 2014
BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA ESTONIA.
Wakiwa chuoni hapo. |
Wednesday, December 17, 2014
Press Release
H.H. Sheikh Tamim bin Hamad bin Khalifa Al Thani, Emir of Qatar |
PRESS
RELEASE
His
Excellency Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of
Tanzania has sent a congratulatory message to His Highness Sheikh Tamim bin
Hamad bin Khalifa Al Thani, Emir of the State of Qatar on the occasion of the Anniversary of the
Qatar National Day of the Founder of the State of Qatar Sheikh Jassim Bin
Mohammed Al Thani.
The message
reads as follows;
“His
Highness, Sheikh Tamim bin Hamad bin Khalifa Al Thani,
Emir of the
state of Qatar,
DOHA,
Your Highness,
On behalf
of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, and indeed
on my own behalf, I would like to sincerely convey my warm congratulations to
you, Your Highness and through you, to the Government and the people of Qatar
on celebrating the Anniversary of the National Day of Founder of the State of
Qatar.
The State
of Qatar and the United Republic of Tanzania have enjoyed cordial bilateral
relations over the years. As you commemorate this joyous occasion of your National
Day, I wish to take this opportunity to reiterate my Government’s desire and
commitment to further enhance the traditional bond of friendship and
cooperation existing between our two countries for our mutual benefits.
Issued
by: THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES
SALAAM
17TH
DECEMBER, 2014
SADC ESSAY WRITING COMPETITION FOR SECONDARY SCHOOLS, 2015
SADC ESSAY WRITING COMPETITION FOR SECONDARY SCHOOLS, 2015
The Southern African Development Community (SADC) Secretariat has organized the SADC students essay writing competition for the year 2015. The essay writing competition is intended to broaden knowledge of the secondary school going population on SADC activities. The competition is open to all students from Form 1 to Form 6. The students are required to begin researching on the topic prior writing and submitting the same to their Heads of School.
The 34th SADC Summit of Heads of State and Government deliberated and agreed that the topic for the year 2015 be: "Leveraging the Region's Diverse Resources for Sustainable Economic and Social Development through Beneficiation and Value Addition". Discuss how this would result in Sustainable Economic Development.
The following set of questions below are meant to guide students when responding to the question above. Thus, on answering the question, students should answer all the questions listed below as follows:
- Discuss the abundant natural resources versus economic development in the SADC Region as a whole expounding the issues of ownership, monetary values and benefits accrued from them on annual basis over the past five years?
- Has the SADC Region ultimately benefited from its abundance of natural resources since the complete democratization with the fall of the Apartheid regime in South Africa in 1994?
- Discuss the Beneficiation and Value Addition with concrete proposals for SADC Region on ownership and processing of mineral/natural resources and how they benefited SADC citizens if at all and what can be improved to maximize benefits to the SADC citizenry?
- How should the SADC Region go about implementing the 34th Summit Theme in order for it to benefit the whole region including some of its Member States that might not have as much natural resources as the others?
- What role should be played in the operationalization of the 34th Summit Theme by non-state actors in the SADC Region, thus, private sector, Non Governmental Organizations, Traditional Authorities and Local Communities?
- As a secondary school learner, what do you think should be the education sector's role in the operationalization of the 34th Summit Theme to benefit the education sector in the whole region?
Heads of schools are supposed to ensure that the students adhere to the following guidelines:
- The essay should not be longer than 2000 words and not shorter than 1000 words.
- Where students have access to computers, they are advised to type their essays and submit both the soft and hard copies.
- Students who will type their essays will have to sign and initial the hard copies to make sure that they have not altered.
- The essay shall be written in English language.
- The front or cover page will display the name, sex, class, school address and stamp, Headmistress/Headmaster's email address, signature, phone number, region and country.
- The title of the essay should be written on the cover page and students should not paraphrase the title.
- The Handwritten essays will be written on one side of the A4 paper with double margin of two centimeters.
Students are expected to begin writing immediately and submit their essays to their Head of school. The Head of school will then be expected to constitute a marking panel which will choose best essays of the school. The panel should go though the essays without marking them and choose three essays to be submitted to the Permanent Secretary, Ministry of Education and Vocational Training not later than 15th April, 2015. The National Adjudication will take place from 2nd - 11th May, 2015 in order to get three entries which will be submitted to the SADC Secretariat in Gaborone, Botswana.
The same information can be found at on these websites: www.sadc.int; www.moe.go.tz; and www.pmolarg.go.tz
*** Wishing you and your schools best wishes ***
Tuesday, December 16, 2014
Press Release
Monday, December 15, 2014
TANZANIA YAISHAURI ICC KUBORESHA UHUSIANO WAKE NA AFRIKA
Na Mwandishi Maalum, New York
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema, mafanikio ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) yatategemea uimarishishwaji wa ushirikiano kati ya Makahama hiyo na Afrika.
Na kwa sababu hiyo, Tanzania imeshauri kuwa Rais Mpya wa Mkutano wa Nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai hana budi kuhakikisha kuwa moja ya vipaumbele vyake vijielekeze katika kuimarisha uhusiano wa Makahama hiyo na Afrika.
Ushauri huo umetolewa na Balozi Irene Kasyanju, Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati akizungumza katika mkutano wa kumi na tatu wa Nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai.
Amesema Tanzania ina imani kubwa na Rais mpya wa Mkutano wa Nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, Bw. Sidiki Kaba, kutoka Senegal, kuwa afanye kila awezalo katika kuimarisha uhusiano huo ambao kwa sasa umezorota.
Friday, December 12, 2014
Tanzania and Kenya to strengthen bilateral relations
Thursday, December 11, 2014
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA WAWAKILISHI WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI (COP20) JIJINI LIMA, PERU
======================================
Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Desemba 10, 2014, amewahutubia wawakilishi wa Afrika katika Mkutano wa Mazingira Duniani (Cop20) unaofanyika jijini Lima, nchini Peru.
Mheshimiwa Makamu wa Rais anahudhuria mkutano huu akimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Kiongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi. Mkutano huo wa jana ulikuwa na dhima ya Afrika baada ya mwaka 2015: Makubaliano Mapya kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi.
Awali Mheshimiwa Dkt. Bilal aliwaambia wawakilishi wa Afrika katika mkutano uliojumuisha Mawaziri wa Afrika wanaoshughulikia masuala ya Mazingira katika nchi zao kuwa, Afrika licha ya unyonge wake bado inalo jukumu la kusimama kidete katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na ili kufanikiwa katika jambo hilo ni muhimu kwa Bara hili kuwa na sauti ya pamoja.
Mheshimiwa Makamu wa Rais aliendelea kusema kuwa, Bara la Afrika lina kila sababu ya kuwa na mipango yake ambayo itatumika kushirikisha nchi za nje ya Afrika ili kwa pamoja Dunia iweze kuwa na kauli inayofanana yenye kulenga kukabiliana na majanga yanayotokana na mabadiliko ya Tabia Nchi licha ya kuwepo tofauti za kimaendeleo kati ya Afrika na nchi za mabara mengine.
Awali akizungumza kabla ya Mheshimiwa Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira wa Sudan ambaye ni Mwenyekiti wa kundi hili la Afrika Dkt. Hassan Albdelgadir Hillal alisema, kundi la Afrika linapongeza uongozi wa Tanzania kupitia kwa Rais Jakaya Kikwete kwa namna unavyosimamia agenda hizi za mabadiliko ya Tabia Nchi na kusimamia upatikanaji wa sauti moja kutoka kwa nchi za Afrika.
Dkt. Abdelgadir aliendelea kusema kuwa, Afrika inatakiwa kutumia mkutano huu wa Lima kwa umakini ili kuhakikisha mipango inayofikiwa inapata kutambulika na kuonekana mwakani wakati mkutano kama huu utakapofanyika jijini Paris.
Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Binilith Mahenge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mawaziri wa Mazingira kwa nchi za Afrika yeye alibainisha kuwa, viongozi wa nchi za Afrika wamekuwa mstari wa mbele kabisa kuhakikisha kuwa Afrika inasikika na kwamba anatarajia ushirikiano katika ngazi ya Mawaziri kuendelea hata pale atakapokuwa anakabidhi nafasi hiyo kwa Waziri wa Mazingira wa Misri. Katika mkutano mwingine ambao pia ulikuwa mwendelezo wa Siku ya Afrika katika COP20, Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Bilal alisisitiza kuwa Afrika inatakiwa kuhakikisha vijana na akina mama wanakuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na hali hii ya mabadiliko ya tabia nchi.
“Makundi haya ni muhimu sana kwa kuwa ndiyo yanayohusika moja kwa moja na shughuli za kila siku. Hatutaweza kufanikiwa kama tutayaacha makundi haya nyuma,” alisema Mheshimiwa Makamu wa Rais katika Mkutano huo ambao pia ulihutubiwa na Dkt. Fatima Denton, Mkurugenzi wa Harakati Maalum kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kamishenbi ya Uchumi kwqa Afrika (UNECA).
Monday, December 8, 2014
Hon. Membe meets Development Partners in Dar es salaam
H.E. Antila emphasizing a point during the discussions between Development Partners with Hon. Membe |
Above and bellow: A cross section of Ambassadors during the official talks between Hon. Membe and Development Partners |
Another section of Ambassadors and Representatives during the discussion |
Discussion continues. |
Other officers. =========================== |
PRESS RELEASE
The Government of Tanzania has assured Development Partners that it will not hesitate to take actions against those in government who would be found guilty by the Ethics Secretariat in the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and the Tegeta Escrow Account scandal.
This was said by Hon. Bernard Membe, Minister for Foreign Affairs and International Cooperation during the discussions with Development Partners led by Finish Ambassador to Tanzania who visited his office today to discuss issues of cooperation.
“As you had all witnessed, the debate in the parliament was centered around three issues; due diligence of Pan Africa Power (PAP); Capacity charges and whether the funds were public; and lastly ethics of Civil Servants and Political Leaders who received funds from the account” said Membe.
He explained that it is through the third ethical issue that the Government's Ethics Secretariat has now began the investigation on who in public service has crossed the ethical line in the scandal and be dealt with in accordance to the secretariat’s standard procedures.
Speaking on behalf of the delegation, H.E. Sinikka Antila, Finish Ambassador to Tanzania commended the Minister’s efforts in providing them with timely information regarding actions that are being considered by the government on the IPTL issue. She said the Diplomatic Community was impressed with the way the discussions were conducted in the parliament and the report that was put forth for Government’s consideration.
“It is not just the General Budget Support funds that you our Development Partners are withholding that is at stake, the credibility of our government is also at stake, my President will not hesitate to take swift action to all that will be found guilty” the Minister said.
The delegation that was invited by Minister Membe forms a part of Development Partners who withheld their contribution worth over 80% to the government budget pending the Controller and Auditor General (CAG) and Public Accounts Committee (PAC) reports on IPTL scandal.
The delegation comprised representatives from the European Union, World Bank, African Development Bank, Norway, Sweden, Canada, the United Kingdom, Ireland, Japan, Denmark and Germany.
Issued by: The Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Dar es Salaam.
08th December, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)