![]() |
| Rais Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Perth Australia kwenye hafla fupi waliyomuandalia leo tarahe 26-10-2011 |

![]() |
| Balozi wa Tanzania Nchini Japan na Australia Mhe. Salome Sijaona akisalimiana na mwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Australia. |
![]() |
| Baadhi ya Wabunge na Waziri walioongozana na msafara wa Mhe. Rais Kikwete kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Madola |
![]() |
| Baadhi ya Watanzania na marafiki wa Tanzania waliohudhuria hafla hiyo. |
![]() |
| Wana habari walioongozana na msafara wa Rais Kikwete Anna Nkinda (maelezo) na Jaffar Haniu (TBC) nao hawakuwa nyuma kuhakikisha wanapata matukio yote muhimu ya hafla hiyo. |
![]() |
| Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya Watanzania waliohudhuria hafla hiyo. |
![]() |
| Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Wanajumuiya kwenye picha ya pamoja na viongozi wao |


















No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.