Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw.
John M. Haule, akipokea msaada wa fedha kiasi cha Sh. 1,118,600.00/- kutoka
kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Bibi Justa Nyange, kwa ajili
ya waathirika wa ajali ya Meli ya MV Spice iliyotokea Zanzibar mwezi
Septemba, 2011. Msaada huo umetolewa na Watanzania wanaoishi nchini Zambia. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.