| Mhe. Membe akimsikiliza Mhe. Khalid wakati wa mazungumzo yao. |
| Picha zaidi wakati wa mazungumzo hayo. |
| Mhe. Membe na Mhe. Khalid wakisaini Mkataba wa Ushirikiano katika masuala ya michezo kati ya Tanzania na Palestina. |
| Mhe. Membe akipata maelezo kutoka kwa Bw. Abdallah Mtibora, Afisa Mambo ya Nje katika Kitengo cha Sheria wakati wa kusaini mkataba huo huku Balozi Abujais akimwelekeza Mhe. Khalid. |
| Mhe. Membe na Mhe. Khalid wakionesha Mkataba huo mara baada ya kusaini. |
| Ujumbe kutoka Makao ya CCM uliofuatana na Mhe. Migiro |
| Picha ya pamoja. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.