Monday, August 25, 2014
Sunday, August 24, 2014
Mhe. Membe Amwakilisha Rais Kikwete Michezo ya Shule Afrika Mashariki
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (kulia) akifuatilia kwa makini
hotuba kutoka kwa Waziri Membe.
|
Viongozi mbalimbali wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri Membe kwaniaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe akiwapungia mkono wanafunzi wa Shule za Sekondari kutoka Tanzania bara (hawapo pichani). |
Waziri Membe akipiga Mpira kuashiria kufunguliwa kwa mashindano hayo rasmi |
Waziri Membe
akisalimiana na wachezaji wa mpira wa miguu kutoka Shule ya Sekondari ya
Makongo kabla ya kuanza mechi.
|
Waziri Membe akisalimiana pia na wachezaji wa shule ya Sekondari ya Mvara kutoka Uganda. |
Mechi ikiendelea |
Waziri Membe akishangilia baada ya Makongo Sekondari kufunga goli. |
Wachezaji wa Makongo Sekondari wakishangilia goli lao
Picha na Reginald Philip
|
-------------------------------------------------------------------------------------------
Mhe. Membe Amwakilisha Rais Michezo ya Shule A. Mashariki
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.),
alimwakilisha Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, kufungua Mashindano ya 13 ya Shirikisho la Vyama vya Michezo vya
Shule za Sekondari za Afrika Madhariki (FEASSSA), jijini Dar es Salaam Jana.
Mashindano hayo yanahisisha timu za michezo mbali mbali za Shule 205 kutoka Kenya, Uganda, Sudani Kusini, Rwanda, Burundi, Zanzibar na Tanzania Bara, zenye washiriki 3,000.
Mashindano
yatarindima kwenye Uwanja wa Taifa kwa siku 10.
Katika
hotuba iliyosomwa na Mhe. Membe, Rais Kikwete alisema michezo hiyo ni moja ya
mikakati ya utekelezaji wa itifaki ya utengamano wa Afrika Mashariki.
"Aidha,
michezo hii ni kiashiria tosha cha azma madhubuti tuliyo nayo ya kuimarisha
Umoja wetu," alisema.
Alizitaka
Nchi za Afrika Mashariki kushirikiana kuendeleza michezo, akashauri Mashindano
hayo yashirikishe pia Shule za msingi.
"Kwa
niaba ya Marais wa Nchi za Afrika Mashariki, na kwa niaba ya Nchi yangu,
napenda kuwahakikishia kuwa serikali za nchi zote zitaendelea kuwainga mkono na
kuwezesha michezo hii kufanyika kila mwaka," alisema.
"Hafla hiyo ilihudhuriwa pia na Mhe. Hawa Ghasia, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa); Mhe. Dkt. Shukururu Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi; Dkt. Abdullah Juma Abdullah, Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mawaziri kutoka Sudani Kusini na Uganda.
Friday, August 22, 2014
Press Release
H.E Michael D. Higgins, President of Ireland
PRESS
RELEASE
H.E.
Jakaya Mrisho Kikwete, President of the
United Republic of Tanzania, has sent a condolence message to H.E. Michael
D. Higgins, President of the Republic of Ireland, following the demise of
the former Irish Prime Minister H.E. Albert Reynolds on 21st August
2014.
The message reads as follows:-
“H.E. Michael D.
Higgins
President of the Republic of Ireland
Dublin
IRELAND
Your Excellency,
I have received with
great sorrow the sad news about the untimely passing away of the former Irish
Prime Minister, the late H.E. Albert Reynolds.
I take this
opportunity to extend my heartfelt condolences to you and through you to the
family of the deceased, the Government and the people of Ireland during the
whole mourning period.
The world will remember
the late former Prime Minister Reynolds for his tireless efforts on peace
keeping processes. It is my prayer that you remain strong during this difficult
moment.
We pray to the
Almighty God to rest his soul in eternal peace.
Please accept, Your
Excellency, the assurances of my highest consideration”.
Issued
by: The Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Dar es
Salaam
22nd
August 2014
Wednesday, August 20, 2014
Press Release
![]() |
H.E János Áder, President of Hungary |
PRESS RELEASE
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of
Tanzania has sent a congratulatory message to His Excellency János Áder, President of Hungary on the occasion of
the National Day of Hungary. The message reads as follows:-
“H.E. János Áder,
President of Hungary
Budapest
HUNGARY
Excellency and Dear Colleague,
On behalf of the people and Government of the United
Republic of Tanzania and on my own behalf, I take this opportunity to convey my
sincere congratulations to you, the Government and people of Hungary on the
occasion of the National Day of your country.
This historic day offers us another opportunity to
reaffirm our commitment to work together both bilaterally and multilaterally on
matters of mutual interest and further enhance the relations between our two
countries.
Please accept, Your Excellency, my best wishes for your
continued good health and prosperity of the people of Hungary”.
Issued by the
Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Dar es Salaam
20th August 2014
Tuesday, August 19, 2014
Africa Riled for Forgetting Nyerere
Tanzanian winner SADC Essay Competition
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Tanzanian Wins SADC Essay Competition as Zimbabwe decorates Mbita
Neema Stephen, a Form Three student at
Nabote Secondary School in Njombe, has won the first prize in this year's
Southern African Development Community (SADC) Secondary Schools Essay
Competition, beating Zimbabwe and Swaziland to second and third positions,
respectively.
Neema was awarded a certificate and
US$1,500. The second winner received $750 and the third prize was $500.
Secondary schools in the region were asked to write an essay on the effects of
climate change and discuss the remedy.
The prizes were presented to the
winners by H.E. Prof. Arthur Peter Mutharika, President of the Republic of
Malawi, in his capacity as the outgoing SADC Chairman, at the sideline of the
SADC summit.
President Mutharika also presented
prizes to winners of mass media competition, which eluded Tanzanians. The SADC
Council of ministers has directed the secretariat of the organization to
promote the competition among member states.
The competitions are coordinated by the
Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation in collaboration with
the relevant sectoral ministries.
Meanwhile, the Republic of Zimbabwe has
bestowed its highest National Honour, the Royal Order of
Munumutapa, on retired Brigadier General Hashim Mbita in recognition
of his contribution to the liberation of the Southern African country.
H.E. Robert Mugabe, President of
Zimbabwe, announced the decision during the opening of the 34th SADC Summit at
Victoria Falls, after launching a nine-volume publication on the Southern
Africa liberation struggles, coordinated by General Mbita.
President Mugabe said beside the medal,
his government had awarded General Mbita, who was the Executive Secretary
of the OAU Liberation Committee for 22 years, US$100,000.
General Mbita could not attend the
ceremony due to ill health, and the medal and cheque were received on his
behalf by his daughter, Shella.
The OAU Liberation Committee, which was
based in Dar es Salaam, was key in mobilizing arms and military supplies
for liberation movements of the Southern Africa region. It was dissolved in
1994 after the defeat of apartheid in South Africa.
The only other non-Zimbabwean
recipients of the honour are the Father of the Tanzanian Nation, Mwalimu Julius
Nyerere, the first President of Mozambique, H.E. Samora Machel, the First
President of Botswana, H.E. Sir Seretse Khama and H.E. Kenneth Kaunda, the
first President of Zambia.
Monday, August 18, 2014
Kaimu Katibu Mkuu amkabidhi Hati ya Kiwanja Balozi wa Oman nchini
Balozi Yahya akizungumza na Balozi Al-Ruqaish kabla ya kumkabidhi hati hiyo ya kiwanja. |
Mazungumzo yakiendelea. |
Picha ya pamoja Picha na Regiald Philip |
Thursday, August 14, 2014
SADC Ministerial Conference starts in Zimbabwe
Hon. Membe in a briefing meeting.
SADC MINISTERIAL CONFERENCE GETS UNDERWAY
The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Hon.
Bernard K. Membe, arrived in Victoria Falls, Zimbabwe, early today to lead the
Tanzanian delegation to the SADC Ministerial conference.
Ministers from the 15 SADC member countries are meeting in the
Zimbabwean resort town to prepare the agenda for the 34th SADC Summit on August
17 and 18, which is expected to be attended by H.E. Jakaya Mrisho Kikwete,
President of the United Republic of Tanzania.
The Ministerial delegation includes Hon. Abdallah Kigoda, Minister for
Industry and Trade.
The SADC Heads of State and government are scheduled to deliberate on a
range of issues on regional cooperation, including review of the region's
Industrial Strategic Development Programme.
They will also discuss establishment of a Regional Development Fund,
which is proposed to have a seed capital of 1.2billion US dollars.
The Ministerial conference was preceded by a meeting of Senior
Officials.
Ambassador Rajabu Gamaha, Acting Permanent Secretary in the Ministry of
Foreign Affairs and International Cooperation led the Tanzania delegation to
the meeting.
SADC member countries are Tanzania, Botswana, Angola, Namibia,
Mozambique, Malawi, Lesotho, Swaziland, Mauritius, Madagascar,Democratic
Republic of Congo,South Africa, Zimbabwe and Zambia.
Ends
Rais Kikwete afungua rasmi Kongamano la Kwanza la Diaspora nchini
Kaimu Wakurugenzi wa Idara za Afrika na Ulaya na Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Victoria Mwakasege (kushoto) na Bi. Zuhura Bundala (wa pili kushoto) wakifuatilia hotuba ya Mhe. Rais Kikwete wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Diaspora. Anayefuata ni Bw. Yusuph Mndolwa, Afisa Mambo ya Nje kutoka Ubalozi wa Tanzania Sweden. |
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Diaspora Initiative (TDI), Bw. Emmanuel Mwachullah nae akizungumza wakati wa Kongamano la Kwanza la Diaspora hapa nchini. Taasisi ya TDI imeshirikiana na Serikali katika kuandaa Kongamano hilo. |
Bw. Caesar Waitara, Afisa Mambo ya Nje kutoka Ubalozi wa Tanzania Ujerumani akiwa na Bw. Peter Kazaura, Mwanadiaspora kutoka Ujerumani |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi. Rosemary Jairo akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa Kongamano hilo. |
Maafisa Mambo ya Nje wakinukuu hotuba ya Mhe. Rais Kikwete. Kulia ni Bw. Celestine Kakele na Bw. Deogratius Dotto. |
Mshereheshaji wakati wa Kongamano hilo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Suzane Mzee akiwajibika. |
Maafisa Mambo ya Nje wakifuatilia hotuba ya Mhe. Rais. |
Mhe. Rais Kikwete akizindua rasmi Tovuti ya Diaspora wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Diaspora. Wanaoshuhudia wengine ni Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda. |
Mwonekano wa Tovuti hiyo inayoitwa www.tanzaniadiaspora.org |
Mhe. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Mhe. Pinda, Mama Jairo, Mkurugenzi wa Tanzania Diaspora Initiative na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) hapa nchini Bw. Damien Thuriaux |
Mhe. Rais Kikwete na Mhe. Pinda katika picha ya pamoja na kundi la Wanadiaspora kutoka nchi za Ulaya |
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akibadilishana mawazo na mmoja wa wageni waalikwa mara baada ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la Kwanza la Diaspora nchini.
Picha na Reginald Philip
|
Wanafunzi wa Vyuo wapata semina kuhusu utendaji wa Umoja wa Mataifa Wizarani
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akitoa mada kuhusu Utendaji kazi wa Idara yake na mfumo mzima wa utendaji kazi wa Umoja wa Mataifa na Uhusiano wa Mashirika ya Kimataifa na Tanzania katika semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia (CFR), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Chuo Kukuu cha Dar es Salaam (UDSM), wanaofanya mafunzo kwa vitendo Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Baadhi ya Wanafunzi hao wakimsikiliza Balozi Mushy (hayupo pichani) |
Maafisa Mambo ya Nje kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wakimsikiliza Balozi Mushy (hayupo pichani) |
Semina ikiendelea
Picha na Reginald Philip
|
Wednesday, August 13, 2014
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
Rais Kikwete, Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa Diaspora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Watanzania wanaoishi
ughaibuni (Diaspora) ambao umepangwa kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar
es Salaam tarehe 14 na 15 Agosti 2014.
Mkutano huo ambao umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taasisi ya Diaspora Tanzania (Tanzania
Diaspora Initiative-TDI), unalenga kuwahamasisha Watanazania wanaoishi
ughaibuni wenye utaalamu na mitaji kurudi nchini au kuwekeza katika shughuli mbalimbali
kwa madhumuni ya kukuza uchumi wa nchi.
Aidha, Mkutano huo ambao ni wa kwanza kufanyika nchini, wenye
kaulimbiu “Unganisha, Shiriki, Toa taarifa na Wekeza” (Connect, Engage, Inform
and Invest) utatoa nafasi kwa washiriki kutambua vyema fursa za uwekezaji na
ajira zinazopatikana Tanzania.
Imetolewa na: Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es Salaam
13 Agosti, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)