Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea. |
Thursday, September 15, 2016
Wizara ya Mambo ya Nje yaratibu matembezi ya hisani kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje afungua Kongamano la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki
Mheshimiwa Dkt. Susan A. Kolimba akimpongeza mtunzi na mwimbaji wa mashairi Bw. Issa Ally.
|
Mhe. Dkt. Susan A. Kolimba akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la CHAKAMA.
|
Mhe. Dkt. Susan A. Kolimba akiwa akionesha kitabu kilichozinduliwa kwenye kongamano la Kiswahili la CHAKAMA kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Florens D. A. M Luoga.
|
Sehemu ya wadau wa lugha ya kiswahili waliohudhuria kongamano la Kimataifa la CHAKAMA wakifuatilia jambo.
|
Meza kuu (walioketi) wakiwa katika picha ya pamoja na Wahadhiri wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
|
Wednesday, September 14, 2016
Wizara ya Mambo ya Nje yachangia waathirika wa tetemeko Mkoani Kagera
Sehemu ya Mabalozi na Wafanyabiashara walioshiriki mkutano huo |
Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kuhamasisha uchangiaji kwa maafa yaliyotokea Kagera kufuatia tetemeko la ardhi. |
Sehemu nyingine ya wafanyabiashara akiwemo Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Dkt. Reginald Mengi (wa kwanza kushoto) |
Sehemu ya wageni waalikwa walioshiriki mkutano huo wakiwemo Wakurugenzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki |
Mhe. Dkt. Kolimba akitoa neno la ukaribisho wakati wa mkutano huo |
Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Mengi akizungumza wakati wa mkutano huo |
Mkutanoo ukiendelea |
Tuesday, September 13, 2016
TAMKO (COMMUNIQUE); Mkutano wa Dharula wa 17 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
COMMUNIQUE: 17TH EXTRA-ORDINARY
SUMMIT OF HEADs OF STATE OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY
1. THE EAST AFRICAN
COMMUNITY HEADS OF STATE, THEIR EXCELLENCIES PRESIDENT DR. JOHN POMBE JOSEPH
MAGUFULI OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND CHAIRPERSON OF THE SUMMIT,
PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI OF THE REPUBLIC OF UGANDA, PRESIDENT PAUL
KAGAME OF THE REPUBLIC OF RWANDA, DEPUTY PRESIDENT WILLIAM RUTO OF THE REPUBLIC
OF KENYA; AND AMB. ALAIN AIMÈ NYAMITWE, MINISTER OF EXTERNAL RELATIONS AND
INTERNATIONAL COOPERATION OF THE REPUBLIC OF BURUNDI REPRESENTING PRESIDENT PIERRE
NKURUZINZA HELD THE 17TH EXTRA-ORDINARY SUMMIT MEETING OF THE EAST AFRICAN
COMMUNITY HEADS OF STATE ON 8TH SEPTEMBER, 2016 IN DAR ES SALAAM, TANZANIA. IN
ATTENDANCE WERE H.E ALI MOHAMED SHEIN, PRESIDENT OF ZANZIBAR, AND HON AGGREY
TISA SABUNI, SPECIAL ENVOY OF GENERAL SALVA KIIR MAYARDIT, PRESIDENT OF THE
REPUBLIC OF SOUTH SUDAN.
2. THE
HEADS OF STATE AND GOVERNMENT MET IN A WARM AND CORDIAL ATMOSPHERE.
3. THE
HEADS OF STATE CONSIDERED A REPORT OF THE COUNCIL OF MINISTERS ON EU-EAC
ECONOMIC PARTNERSHIP AGREEMENT (EPA) AND NOTED THAT TWO PARTNER STATES HAVE
SIGNED THE EPA. THE SUMMIT REQUESTED FOR THREE MONTHS TO FINALISE ON THE
CLARIFICATION OF THE CONCERNS OF SOME OF THE REMAINING PARTNER STATES BEFORE
CONSIDERING THE SIGNATURE OF EPA AS A BLOC. THE SUMMIT CALLED UPON EU NOT TO
PENALISE THE REPUBLIC OF KENYA AND DIRECTED THE SECRETARIAT TO COMMUNICATE TO
EU ON THIS MATTER.
4. THE HEADS OF STATE
RECEIVED A REPORT FROM H. E. BENJAMIN WILLIAM MKAPA, THE FACILITATOR OF THE
INTER- BURUNDI DIALOGUE. THE SUMMIT ENDORSED ALL THE RECOMMENDATIONS AS
PROPOSED IN H. E BENJAMIN WILLIAM MKAPA’S REPORT ON THE INTER BURUNDI DIALOGUE
AND DIRECTED THE COUNCIL OF MINISTERS TO AVAIL A BUDGET FOR THE INTER BURUNDI
DIALOGUE.
5. THE
HEADS OF STATE RECEIVED A REPORT OF THE COUNCIL OF MINISTERS ON MATTERS
RELATING TO THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN AND CONGRATULATED THE PEOPLE AND THE
GOVERNMENT OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN FOR THE TIMELY DEPOSITING OF THE
INSTRUMENTS OF RATIFICATION OF THE TREATY OF ACCESSION OF THE REPUBLIC OF SOUTH
SUDAN INTO THE EAST AFRICAN COMMUNITY WITH THE SECRETARY GENERAL. THE HEADS OF
STATE DIRECTED THE COUNCIL OF MINISTERS TO PRESENT THE ROADMAP FOR THE
ACCELERATED INTEGRATION OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN INTO THE EAC AT THE 18TH
SUMMIT OF THE EAC HEADS OF STATES SCHEDULED FOR NOVEMBER, 2016.
6. THE HEADS OF STATE
RECEIVED THE REPORT OF THE 33RD EXTRA-ORDINARY MEETING OF THE COUNCIL OF
MINISTERS RECOMMENDING TO THE SUMMIT THE APPOINTMENT OF HON. CHRISTOPHE
BAZIVAMO FROM THE REPUBLIC OF RWANDA AS A DEPUTY SECRETARY GENERAL OF THE EAST
AFRICAN COMMUNITY.
7. THE
HEADS OF STATE APPOINTED HON. CHRISTOPHE BAZIVAMO AS DEPUTY SECRETARY GENERAL
OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY TO A THREE YEAR TERM WITH EFFECT FROM 8TH
SEPTEMBER, 2016 AND PRESIDED OVER HIS SWEARING IN CEREMONY.
8. THEIR EXCELLENCIES
PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI OF THE REPUBLIC OF UGANDA, PRESIDENT PAUL
KAGAME OF THE REPUBLIC OF RWANDA, DEPUTY PRESIDENT WILLIAM RUTO OF THE REPUBLIC
OF KENYA AND AMB. ALAIN AIMÉ NYAMITWE MINISTER OF EXTERNAL RELATIONS AND
INTERNATIONAL COOPERATION OF THE REPUBLIC OF BURUNDI THANKED THEIR HOST, HIS
EXCELLENCY PRESIDENT DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI OF THE UNITED REPUBLIC OF
TANZANIA AND CHAIRPERSON OF THE SUMMIT, FOR THE WARM AND CORDIAL HOSPITALITY
EXTENDED TO THEM AND THEIR RESPECTIVE DELEGATIONS DURING THEIR STAY IN DAR ES
SALAAM.
……………………........…....
H.E DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
H.E DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
…………….................……
H.E YOWERI KAGUTA MUSEVENI
PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF UGANDA
H.E YOWERI KAGUTA MUSEVENI
PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF UGANDA
…………………........…
H.E PAUL KAGAME
PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF RWANDA
H.E PAUL KAGAME
PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF RWANDA
….………….……..…..…..
H.E WILLIAM RUTO
DEPUTY PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA
DEPUTY PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA
……………………....…
AMB. ALAIN AIMÉ NYAMITWE
MINISTER OF EXTERNAL RELATIONS AND INTERNATIONAL COOPERATION
REPUBLIC OF BURUNDI
AMB. ALAIN AIMÉ NYAMITWE
MINISTER OF EXTERNAL RELATIONS AND INTERNATIONAL COOPERATION
REPUBLIC OF BURUNDI
Sunday, September 11, 2016
Friday, September 9, 2016
Mkutano wa 17 wa Dharura wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamalizika Dar es Salaam.
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akizungumza katika Mkutano wa 17 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame akizungumza katika Mkutano wa 17 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza katika Mkutano wa 17 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu, Jijini Dar es Salaam |
Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akizungumza katika Mkutano wa 17 wa Viongozi Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salam |
Sehemu ya wageni waalikwa wakifuatilia Mkutano
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu Wengine wa Nchi Wanachama wa Jumuiya na Wawakilishi.
|
Thursday, September 8, 2016
Rais Museveni awasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa EAC
Rais Museveni akisalimiana na Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Mhe. Simon Sirro mara baada ya kuwasili nchini. |
Rais Museveni akipita kwenye Gwaride la heshima lililoandaliwa kwa mapokezi yake |
Subscribe to:
Posts (Atom)