Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akipokea mfano wa hundi ya Shilingi milioni 10 kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (katikati) ikiwa ni mchango wa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea Mkoani Kagera hivi karibuni. Mkutano huo wa kuhamasisha uchangiaji ulifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 13 Septemba, 2016 na kuwashirikisha Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini na Wafanyabiashara. Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Aziz Mlima |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.